Header Ads

WANAWAKE WEUSI HUDUMU SANA KATIKA NDOA ZAO

 


Baada ya reporter wetu kutoka Nchini Cameroon kuzungumza na mzee Samwel hatimae modealer online Tv tunakusogezea hili karibu yako.

"Kwa  miaka mingi watu wengi katika bara la Africa baadhi yao wamekuwa wakijiingiza katika harakati za kubadili rangi ya ngozi zao bila kujua  thamani walionayo ."

Mzee Samwel kutoka Cameroon leo hii anaieleza Modealer Online Tv team kuwa wanawake weusi wamekuwa mstari wa mbele katika kudumisha ndoa zao na pia kudumu katika ndoa kutokana na sifa yao kuu ya upole , aibu, upendo na huruma pia .

Hata hivyo wanawake weusi kwa muonekano wao wa nje huonekana kama hawana wivu lakini ni watu wenye wivu sana . Pia baadhi yao wamekuwa katika hatari ya kuachwa kutokana na tabia yao ya uvivu.

Tabia yao ya kupenda kuwa kimya huzidisha upendo kwa wenza wao , Lakini  pia tabia yao ya aibu huibua hisia Kali za mahaba kwa wenza wao .

Pamoja na hayo Mzee Samwel anaeleza kuwa nchini Cameroon mwanamke mweusi ni mwenye thamani kubwa sana hususani kwa yule ambae hupenda urembo wa asili. 

Mzee Samwel pamoja na hayo ameshindwa kuthibitisha  madai yake hivyo huwenda ikawa ni kweli au si kweli .

Tafadhali weka comment yako hapa , eleza ukweli wako kuhusu wanawake weusi na madai ya mzee Samwel kutoka Cameroon.



No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.