Header Ads

GHARAMA MPYA ZA KUUNGANISHIWA UMEME TANZANIA

 


Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limetoa gharama mpya za kuunganishiwa umeme kwa watumiaji wa njia moja kulingana na urefu wa mita kutoka kwenye chanzo Cha miundombinu ya umeme mpaka eneo la mteja .

Gharama hizo zinaanza kutumiwa leo tarehe 05 January 2022 na kuendelea. Gharama hizi ni kama vile ilivyotangazwa na EWURA hapo awali kupitia gazeti la serikali.

Kwa wateja wa mjini , mteja wa njia moja umbali wa mita 30 Tsh 320,960.

Mteja wa njia moja umbali wa mita 70 Tsh 515,618 na mteja wa njia moja umbali wa mita 120 ni Tsh 696,670 .

Hii yote ikiwa ni muendelezo wa maboresho ya bei katika sekta mbalimbali katika serikali ya Tanzania .


 Bei hizi ni kwa wateja wote wa maeneo ya Mijini.



No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.