MO DEWJI KUIONDOA SIMBA BIO YA INSTAGRAM
Photo by https://www.instagram.com/p/CYTjn6EN-j7/?utm_medium=copy_link
Tajiri namba 15 barani Africa Modewji mwenye utajiri wa dollar za kimarekani 1.5 billion. Rais na muanzilishi wa Metl Group na Modewji foundation amezua gumzo mitandaoni kutokana na taarifa zinazosambaa mitandaoni kwa sasa kuwa Tajiri huyu ambae ni Rais wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Simba Sc kuifuata timu hiyo katika bio ya instagram account yake .
Baadhi ya Taarifa zinaeleza kuwa , Hata hivyo Mohammed Dewji ameunfollow wachezaji wa timu hiyo hali inayoleta wasiwasi na mashaka kwa baadhi ya wadau wa soka Nchini Tanzania na club ya Simba.
Hivi karibuni club ya Simba Sc ilitwaa ubingwa katika Fainali za kombe la mapinduzi. Hata hivyo mnamo siku za karibuni club ya Simba Sc ilipoteza katika michezo yake kadhaa iliyochezwa mkoani Morogoro na Kagera . Ingawa bado Tajiri huyu anaifollow account ya Simba Sc instagram lakini katika bio yake ya instagram ameiondoa hali inayoleta utata na njia panda .
Photo by https://www.instagram.com/p/CYTjn6EN-j7/?utm_medium=copy_linkBaadhi ya mashabiki wameeleza yao ya moyoni katika post ya Modewji instagram ya kuipongeza Simba queens (Timu ya wanawake) kwa ushindi wa bao saba . Watu wanaendelea kuhoji jee anataka kuachana na SIMBA SC? Ni dalili za kuporomoka kwa utajiri wake? Au ni nini?.
Hivi karibuni jarida maarufu la uchumi lakini pia kupitia ukurasa wa BBC ilielezwa kuwa utajiri wa Modewji umeporomoka kutoka dollar 1.6 billion hadi 1.5 billion dollars. Hii ni vuta nikuvute ndani ya timu ya mpira wa miguu ya Simba . Yapi maoni yako ? Endelea kuwa karibu nasi.
Gusa matangazo yetu yaliyopo chini ya habari hii kuburudika zaidi Ahsante.
Post a Comment