Header Ads

UPDATE 🔴: MWAKINYO KUVULIWA TAJI

 BONDIA WA TANZANIA HASSAN MWAKINYO KUVULIWA MATAJI YOTE 


Summary:

Hassan mwakinyo amevuliwa mkanda (Taji ) la ubingwa wa Africa. (ABU) huu ni mkanda wa pili mwakinyo kuvuliwa .

Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amevuliwa mkanda wa ubingwa wa Africa ABU ( African Boxing Union) baada ya muda wa kuutetea mkanda huo kupita.

ABU imemshusha Hassan Mwakinyo hadi nafasi ya tatu (3) ubora wa Super Welter.

Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Hassan Mwakinyo alivuliwa taji la ubingwa wa mabara (WBF ) hivyo kwa sasa Mwakinyo hana taji lolote ambalo anashikilia . Jee hii itamfanya Mwakinyo asiwe bora ? 
Ukweli nikwamba Hassan Mwakinyo bado ni bora , Inaelezwa kuwa bado Mwakinyo anashikilia nafasi ya 14 kidunia uzito wa super welter .
    
              Tafadhali endelea kuwa karibu nasi kwa habari za michezo, biashara nk

1 comment:

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.