Header Ads

Penalty Juma Shaban Yanga Sc vs USMA

Goal Yanga Sc vs USMA Jumaa Shaban  

Yanga Sc vs USMA Goal

Juma Shabani: Anaipatia Yanga Sc bao la kwanza kwa mkwaju wa penalty mchezo wa fainali Round Ya pili. Yanga Sc 1-0 USMA . 

Mchezo wa fainali Round ya kwanza USMA waliibuka kwa ushindi wa bao mbili kwa uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam na ushindi wa bao la leo unaweka usawa wa bao mbili kwa mbili sasa kinachohitajika ni mmoja agongelee msumari wa ubingwa atwae ndoo tuu.

Tazama Picha Za Mashabiki Wa Yanga Sc 

Yanga Sc vs USMA Today

Yanga Sc vs USMA match


Powered by Blogger.