Wajumbe Wa Kamati Ya Utawala Katiba Na Sheria Wafanya Kikao Bungeni .
Bungeni Dodoma: Wajumbe wa kamati ya utawala , katiba na sheria wamefanya kikao na jukwaa la katiba Tanzania , chama cha wanasheria na mtandao wa asasi ya kiraia nchini Tanzania.
Aidha kikao hicho kimelenga kupitia mapendekezo kuhusu sheria mbalimbali nchini Tanzania. Kikao hicho kimefanyika tarehe 27, june 2023 ( jana ) .
Tazama Habari Picha Zaidi Za Kikao Hapa