Rais Wa Columbia Mbioni Kuvunja Uhusiano Na Israel

Gustavo Petro Rais Wa Columbia Na Mpango Wake Wa  Kuvunja Uhusiano Na Israel. 

Gustavo Petro Rais Wa Columbia

Habari: Rais wa Columbia Gustavo Petro ameweka wazi juu ya nia na mpango wake wa kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na serikali ya kizayuni ya Israel. Akizungumza mapema leo hii Rais Gustavo Petro amesema kuwa kamwe Columbia haipo tayari kushirikiana na Israel na hivi karibuni nchi yake itamtumua balozi wa Israel Columbia. 

" We do not approve the genocide in Gaza" 

Hata hivyo katika kauli yake Rais Gustavo amethibitisha kuwa nchi yake inapinga vikali vifo vinavyoendelea huko Gaza tangu mapigano ya Palestine na Israel kuanza. 


Tags