Israel Yamuacha Huru Sumayya Jawabreh

Sumayya Jawabreh Aachwa Huru Na Israel


Sumayya Jawabreh Aachwa Huru

Mamlaka za sheria serikali ya Israel imemuacha huru mwaandishi wa habari Sumayya Jawabreh huko west bank . 

Sumayya Jawabreh anaachwa huru kwa sharti maalumu la kulipa zaidi ya dollar 25000 lakini hata hivyo kufungiwa kutumia mitandao ya kijamii.

Ripoti za hivi karibuni zinaripoti idadi ya kubwa ya waandishi wa habari ambao wamekuwa wahanga wakuu wa vifungo na vifo pamoja na kutekwa. Huko Gaza duru mbalimbali za habari zinaripoti vifo vya waandishi wa habari kila kukicha, jee uandishi wa habari ni kazi isiyotakiwa katika jamii?

Tags