Waziri Bashungwa Akagua Athari Za Mvua Same Awapa Pole Wananchi Walioathiriwa.
Habari: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa mapema leo hii amekagua athari za mvua zinazoendelea kunyesha katika mji wa hedaru na saweni wilayani same mkoani Kilimanjaro .
Hata hivyo waziri Bashungwa ametoa pole kwa wananchi walioathiriwa na mvua baada ya maji na tope kujaa kwenye nyumba zao , nyumba za ibada na barabara .