Breaking News Engineer Stellah Manyanya Aanguka Kwa Furaha

Engineer Stellah Manyanya Aanguka Kwa Furaha Jukwaani . 

Engineer Stellah Manyanya Aanguka Kwa Furaha Jukwaani

Mbeya: Mbunge wa jimbo la Nyasa Engineer Stellah Manyanya ameanguka kwa furaha baada ya serikali kutoa kiasi cha fedha za kitanzania shilling billion 81 kwaajili ya ujenzi wa bandari mpya huko mbambabay.

Aidha mara baada ya engineer Stellah kuanguka, mbunge wa jimbo la kyela Ali Jumbe na diwani wa kata ya mbambabay Ajali Hassan ndio waliomsaidia kusimama.


Tags