Leo Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hussein Ally Mwinyi ametembelea jengo jipya la uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume terminal 3."Tutafungua jengo la Abeid Amani Karume terminal 3 mwezi mei mwaka huu.."
Post a Comment