Makabidhiano
Aliyekuwa Mkurugenzi idara ya habari na maelezo na msemaji mkuu wa serikali Hassan Abbas leo amekabidhi ofisi ya Mkurugenzi idara ya habari na maelezo na msemaji mkuu wa serikali kwa Gerson Msigwa ambae ni msemaji mkuu wa serikali mpya hii ni baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Makabidhiano yamefanyika jijini Dodoma leo katika ukumbi wa mikutano wa idara ya habari na maelezo.
Post a Comment