BUNGE LATEKETEA KWA MOTO
Breaking news kutoka Capetown South Africa. Vyombo mbalimbali vya habari nchini South Africa vinaripoti habari ya kutokea kwa ajali ya moto unaotekeza bunge la nchi hiyo .
Taarifa zinasema kuwa moto huo ulioanza mnamo saa 5:30 ulianza kwa kuonekana kwa moshi mzito na kisha ghafla ghorofa ya tatu ilionekana kukolea moto na kisha vyumba vya gym .
Bado vikosi vya moto vipo katika harakati na jitihada za kuuzima ,lakini hata hivyo chanzo Cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa.
Picha jinsi moto ulivyoanza
Post a Comment