RAIS SAMIA KWA WATANZANIA.
Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe SAMIA SULUHU HASSAN leo december 31, 2021 kuanzia saa moja na nusu usiku amelihutubia Taifa la Tanzania kwa kueleza yale ya kujivunia katika mwaka 2021 kwa Taifa la Tanzania , ikiwemo kudumisha amani katika nchi . Kukamilika kwa kiasi kikubwa kwa ikulu ya Chamwino Dodoma.
Mhe SAMIA SULUHU HASSAN analihutubia Taifa la Tanzania ikiwa ni hatua ya kuelekea mwaka mpya 2022 .
Sikiliza na tazama HOTUBA hii mpaka mwisho .
Post a Comment