Header Ads

HARMONIZE & BRIAN WAACHANA

 

  

Rajabu Kahali (Harmonize) msanii wa muziki kutokea Nchini Tanzania amejikuta akiuanza mwaka 2022 na balaa na mauzauza mapyaa. Kama utakumbuka miezi michache iliyopita 2021 Msanii Harmonize alimtambulisha mpenzi wake kutokea nchi za uzunguni aitwae Briana.

Furaha ,amani na upendo wao vilikuwa waziwazi na ilifika hatua mpaka wakawa wanakula bata la maana nchi za Dubai .

Masikitiko yakaibuka . Kupitia instagram story yake Harmonize aliutaarifu ulimwengu kuwa yupo single kitu ambacho kilileta utata kwa mashabiki wake na wapenda burudani wote .

Chaajabu ni kwamba Harmonize amefuta picha zote za Brian katika ukurasa wake wa instagram na pia ame unfollow account ya Brian huku Brian nae aki unfollow account ya Harmonize.

Brian yeye amebakisha picha moja tuu ambayo alipiga na Harmonize . Kama utakumbuka miaka michache iliyopita Harmonize aliachana na wanawake kadhaa akiwemo Sarah , Wolper , Kajala sasa hii ni zamu ya Brian .

Harmonize ni msanii mwenye mafanikio makubwa katika mziki na hivi karibuni amekuwa akijizolea umaarufu kupitia wimbo wa teacher Konde na nyingine nyingi lakini upande wa mapenzi na uhusiano bado ni changamoto . Sababu bado haijafahamika endelea kuwa karibu nasi kwa taarifa zaidi.

 Kwanini wasanii wengi huwa hawadumu kwenye mapenzi na ndoa zao ?

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.