LIVE 🔴: ADHA YA MAJI VIJIJINI
REPORT ZA SIKU
Video fupi kutoka Tanzania . Shida ya maji kijiji kimoja kilichopo Tanzania imefanya tukusogezee video hii . Wananchi wa kijiji hichi ambacho hatuwezi kuweka wazi jina lake wameendelea kulaumu hali ngumu ya ukame na shida ya maji wanayoipitia .
Hata hivyo wananchi hao wameendelea kulaumu kwa kile wanachokiita kutelekezwa . Unafikiri ni nini kifanyike kuongeza huduma ya maji vijijini ?
Post a Comment