LIVE🔴 :BREAKING NEWS : KIMBUNGA GOMBE 15 WAFARIKI.
KIMBUNGA GOMBE
Habari kutoka Nchini Msumbiji . Zaidi ya watu 15 wamefariki dunia kutokana na madhara ya kimbunga Gombe nchini humo . Kwa mujibu wa Radio ya Taifa la Msumbiji wengi waliofariki ni kutokana na kuangukiwa na majengo pamoja na miti mikubwa.
Aidha kimbunga Gombe kilichoambatana na mvua kubwa kimesababisha zaidi ya watu 1900 kukosa makazi . Mamlaka ya udhibiti majanga bado haijatoa idadi kamili ya uharibifu.
Post a Comment