Header Ads

LIVE 🔴: HARUSI YA MREMA

 

                                 Mrema 

                           Habari Kamili 

Mwanasiasa mkongwe Augustino Lyatonga Mrema amefunga ndoa rasmi Leo tarehe 24, March 2022 baada ya mke wake wa mwanzo kufariki dunia.

Mrema msomi mwenye degree ya sayansi ya jamii na pia msomi kutoka Cambridge university aliyezaliwa December 31, 1944 amefunga ndoa leo hii.

Habari zinaeleza kuwa Mrema ambae ni mwenyekiti wa TLP imegharimu milioni nne (4) kwaajili ya mahari ya mke wake huyo ambae jina bado halikuwekwa wazi.

Hata hivyo inaelezwa kuwa Mrema mpaka sasa ametoa milioni moja pekee na kubakisha million nyingine zilizobaki.

             Kaa karibu nasi kwa taarifa zaidi.

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.