Header Ads

UPDATE 🔴: HIZI HAPA FAIDA NANE UNYWAJI MAZIWA YA NG'OMBE

 

                      Maziwa ya Ng'ombe   

Summary

Ni habari njema kwako msomaji na furaha kubwa kwa modealer TV kukusogezea faida nane za unywaji wa maziwa kila siku. Kipindi cha fahamu session ni bora sana. kwako kaa karibu na website hii siku zote ujifunze mengi zaidi.

FAIDA NANE  (08) ZA  UNYWAJI  MAZIWA YA NG'OMBE  KILA  SIKU.

Ni wazi kuwa hakuna yeyote asiemjua Ng'ombe na maziwa ya Ng'ombe. Lakini kwa bahati mbaya si wote ambao wanafahamu faida za kunywa maziwa ya Ng'ombe katika maisha yao .  Hata hivyo ni wazi kuwa si watu wote ambao wanafahamu nutrients (virutubisho) vilivyopo katika maziwa ya Ng'ombe.

Usiwe na wasiwasi timu makini ya fahamu session hapa kwa modealer TV inakusogezea kila kitu na kukupa njia sahihi ya kufahamu mengi zaidi. 

Faida nane za unywaji wa maziwa ya Ng'ombe ni hizi hapa chini ambazo ni:-

  1. Huimarisha mifupa na kuongeza uimara wa meno yako. Hii ni kutokana na uwepo wa madini ya Calcium . Inaelezwa kuwa katika maziwa ya Ng'ombe kuna Calcium 28% ya RDA 
  2. Huimarisha ngozi na kuongeza nuru ya ngozi yako .  Hii ni kutokana na kuwepo kwa fat katika maziwa ya Ng'ombe. Kwa mujibu wa Health line . Metro dairy inaelezwa kuwa katika maziwa ya Ng'ombe kuna 8% ya fat na pia kutokana na uwepo wa vitamin D 24% .
  3.  Huimarisha misuli . Unywaji wa maziwa kila siku huimarisha misuli ya mwili kutokana na uwepo wa protein ya 8% .
  4. Huongeza uwezo na ufanisi katika kuona .
  5. Hupunguza stress .
  6. Hupunguza na kuzuia kuongezeka kwa uzito wa juu (Obesity) 
  7.  Huzuia mrundikano wa mafuta mwilini (Cholesterol) 
  8. Hupunguza muendelezo wa high blood pressure.  
         Swali ni jee ni kwanini na kivipi ?

Jibu la swali ni kutokana na nutrients ( Virutubisho) Vilivyopo katika mwili wa Ng'ombe na pia maziwa yake . Ndio maana maziwa ya Ng'ombe huwa na faida zilizoelezwa hapo juu . Virutubisho Vilivyopo katika maziwa ya Ng'ombe kwa mujibu wa maandiko ya health line metro dairy ni hivi vifuatavyo :-
      - Calories 14% 
      - Protein % 8%
      - Fat 8% 
      - Calcium 28% 
      - Vitamin D 24%
      - Robin flavin (B2) 26%
      - Vitamin B12 18% 
      - Potassium 10%
      - Phosphorus 22% 
      - Selenium 

2 comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.