Header Ads

CCM UPDATE🔴: MANGULA KUACHIA NGAZI

 

                           Philip Mangula 

Summary:

Makamu mwenyekiti philip Mangula ameandika barua ya kuachia ngazi na kisha nafasi yake kuchukuliwa na Abdulrahman Kinana Katibu mkuu wa zamani chama cha Mapinduzi.

Makamu mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM) Philip Mangula ameng'atuka katika nafasi yake baada ya kuandika barua ya kutaka kung'atuka nafasi hiyo mapema leo hii mkoani Dodoma .  Mangula ameshika nafasi hii tangu November 13 , 2012 leo ameng'atuka.

Hata hivyo habari zinaeleza kuwa nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa katika mkuu wa chama cha Mapinduzi ( CCM) Abdulrahman Kinana baada ya Halmashauri kuu ya CCM kumpitisha kuwa mgombea nafasi ya Makamu mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM upande wa Tanzania bara .

                        Abdulrahman Kinana 

Ahsante kwa kuwa sehemu ya wasomaji wetu. Tafadhali endelea kuwa karibu nasi siku zote. Jee unapenda kuwa sehemu ya reporter wetu? Tuandikie sehemu ya Comment.




No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.