Header Ads

BREAKING NEWS 🔴: SWEDEN & FINLAND KUJIUNGA NATO

   MPANGO WA SWEDEN NA FINLAND 


Summary: 

Mpango huu mpaka kufikia mwezi mei katikati utakuwa umekamilika na kamwe haitavuka mwezi mei. Uvamizi wa Russia nchini Ukraine umeongeza hali ya wasiwasi na hivyo lazima tuboreshe sera za ulinzi na usalama ikiwemo kujiunga na NATO. Ann Linde amesema.

Waziri wa mambo ya kigeni wa Sweden Ann Linde amesema kuwa Sweden itaongeza juhudi zake katika sera zake za ulinzi na usalama ikiwemo kujiunga na NATO mpaka kufikia mwezi mei katikati utakuwa umekamilika mpango huu na kamwe haitavuka mwezi mei.

Ann Linde ameongeza kuwa uvamizi wa Russia nchini Ukraine umeiacha sweden na majirani wao Finland katika tishio na mashaka sana hivyo ni lazima kujiunga na NATO kupambania na kupinga tishio la kiusalama na ulinzi .

Akizingumza na waandishi wa habari Ann Linde amesema kuwa Finland mpaka kufikia wiki mbili zijazo tayari itakuwa imejiunga na NATO . 

        Jee mpango huu utatimia? Kaa karibu

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.