BREAKING NEWS 🔴: MWAI KIBAKI AFARIKI
3rd PRESIDENT OF KENYA
President Mwai Kibaki of Kenya (2003-2013)Summary:
Rais Uhuru Kenyatta amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mwai Kibaki, Leo akizingumza na waandishi wa habari uhuru Kenyatta amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mwai Kibaki Rais wa tatu wa Kenya .
Rais wa Tatu wa Kenya Mwai Kibaki amefariki dunia. Mwai Kibaki amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Kifo cha Mwai Kibaki kimethibitishwa leo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alipokuwa akizingumza na waandishi wa habari.
Kaa karibu kwa taarifa zaidi.
Post a Comment