MAUA SAMA : WIMBO MPYA HIVI KARIBUNI
BONGOFLEVA TRENDINGS
Photo : Maua SamaMsanii wa muziki nchini Tanzania Maua Sama anatarajia kutoa wimbo mpya hivi karibuni.
Kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuziki huyu wa kike ameutaarifu ulimwengu na walimwengu kuwa hivi karibuni sauti yake maridhawa itasikika kwenye wimbo mpya ambao bado hakuweka ni nani ataimba nae au yupo peke yake .
"Hello good morning world ... New music soon ". Maua Sama .
Asubuhi hii kupitia ukurasa wake wa instagram Maua Sama ameandika kuutaarifu ulimwengu na wapenda muziki .
Kaa karibu nasi kwa Update
Post a Comment