BREAKING NEWS 🔴: COCAINE 500 KG ZAKAMATWA
ZURICH , MAY 05,2022
Summary:
Kilogram 500 za cocaine zinazokadiriwa kuwa na thamani ya million 50 USD zimekutwa ndani ya kontena la kusafirisha kahawa kutoka brazil kwenda Zurich. Kontena mali ya kampuni ya Nestles (NESNS
Zurich, Kilogram 500 za Cocaine zinazokadiriwa kuwa na thamani ya million 50 USD zinashikiliwa na police baada ya kukutwa ndani ya kontena la kahawa mali ya kampuni ya Nestles kiwanda cha Nespresso kilichopo Romant Western Switzerland.
Habari zinaeleza kuwa police walipewa taarifa jumatatu usiku na Nespresso kwamba wamekuta kitu kisichofahamika chenye rangi nyeupe walipokuwa wakipakua mzigo wa kahawa kwenye kontena kutoka nchini Brazil , walipofungua ndio wakagundua kuwa ni cocaine.
Hata hivyo inaelezwa kuwa cocaine hiyo haikufanikiwa kuingia katika kahawa hiyo na hata katika vifugashio .
"As a police investigation is underway , we can not share more details...." The single, server said .
Reporter Silke Koltrewitz & Emma Farge .
Reuters Journalists
Post a Comment