KOMBE DOGO LA DUNIA MIKONONI MWA RAIS SAMIA
NEWS STORY YESTERDAY
President Samia Suluhu HassanRais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hapo jana akiwa ikulu jijini Dar es Salaam amepokea kombe dogo la dunia kutoka kwa balozi wa kombe la dunia kutoka shirikisho la mpira wa miguu duniani (Fifa) .
Rais Samia Suluhu Hassan amepokea kombe hilo kwa Juliano Belleti ambae zamani alikuwa ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Brazil.
Inaelezwa kuwa hii ni bahati kubwa na heshima kwa Rais samia Suluhu Hassan kwasababu kitendo hiki hakijawahi kufanyika kabla.
Kaa karibu na sisi
Post a Comment