Header Ads

HUYU NDIO MSHINDI MISS UDOM 2022

                  MISS UDOM 2022 


Summary: Loistracy Andrew mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, mshiriki number 07 mashindano ya miss Udom 2022 ndio mshindi. 

Mshiriki number 07 mashindano ya miss Udom mwaka 2022 Loistracy Andrew ameibuka kuwa mshindi katika taji la ubingwa wa miss Udom (University of Dodoma) mwaka 2022 .

Loistracy Andrew ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha Dodoma (Udom) akisomea shahada yake ya awali ya sanaa katika uchumi. (Bachelor of arts in economics) hapo jana ametawazwa ubingwa wa taji la miss University of Dodoma katika ukumbi wa royal village hotel mkoani Dodoma.

Sherehe za ugawaji wa taji la miss University of Dodoma mwaka 2022 zimehudhuriwa na viongozi na wageni mbalimbali waalikwa . Mbunge Hamis Tale ( Mbunge) ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria . 



No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.