MFALME ZUMARIDI: MAWAKILI WAOMBA AHAMISHWE GEREZA
MAHAKAMANI JIJINI MWANZA
Mawakili wa Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi , wamewasilisha maombi kwa hakimu mkazi mahakama ya Mwanza Monica Ndyekobora kutaka mteja wao kuhamishwa gereza la Butimba kwa kuhofia usalama wake .
Mawakili hao wamewasilisha maombi hayo baada ya kuhofia usalama wa mteja wao kwa kile walichodai kuwa kuna njama za kutaka kuawa. Hakimu Monica Ndyekobora amewataka mawakili hao kufikisha malalamiko yao kwa uongozi wa gereza kuu la Butimba kwaajili ya hatua za uchunguzi . Hata hivyo Ndyekobora ameahirisha kesi hiyo hadi june 30 .
Jee ukiwa kama kijana tayari umejiunga na kampeni ya kudhibiti ukatili wa kijinsia ? Mchongo ni (Smaujata) tuu tokomeza ukatili wa kijinsia na waziri mwenye dhamana Doroth Gwajima .
Tangaza biashara yako nasi kwa kuongeza uwepo wa biashara yako online. Tutumie ujumbe wako kwenye form ya email yetu .
Post a Comment