SITA WAFARIKI AJALI YA GARI CHAMWINO DODOMA
KAMANDA WA POLICE DODOMA ATHIBITISHA KUTOKEA KWA AJALI
Kamanda wa jeshi la police mkoani Dodoma Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu sita na majeruhi kadhaa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Manzase wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Ajali hiyo imetokea leo Julai 03 2022.
Photo: Ajali ya gari chamwino 2022
Post a Comment