Header Ads

WENYE MIAKA 18+ KULIPA KODI TANZANIA

TANZANIA: WENYE MIAKA KUANZIA 18 WATALIPA KODI. 


Waziri wa fedha na mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali ya Tanzania inakusudia kutoa number ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) kwa kila mtu mwenye umri kuanzia miaka 18.

Dk Mwigulu Nchemba ameyabainisha haya leo Jumanne ya tarehe 14/06/2022 akiwa bungeni mjini Dodoma. 

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.