LADY OF HEAVEN YAPIGWA MARUFUKU UINGEREZA
Nchi za kiislamu zimepiga marufuku filamu yenye utata ya lady of heaven ya uingereza. Filamu hiyo inadaiwa kueleza kisa Cha bi fatma mtoto wa mtume muhammad.
Baraza kuu la wanazuoni na maulamaa limeeleza kuwa filamu hiyo inayo uzushi na uongo mwingi wa dhahiri kwa uislam.
Inaelezwa kuwepo kwa maandamano kupinga filamu hiyo huko uingereza. Hata hivyo nchi kama Pakistan , Morocco , Misri , Iran na Iraq nazo zimepinga na kulaani vikali filamu hii.
Post a Comment