Header Ads

ORODHA YA PIKIPIKI 10 ZENYE BEI KUBWA KULIKO DUNIANI

ORODHA YA PIKIPIKI 10 ZENYE BEI KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI : AUGUST 

Orodha ya pikipiki 10 zenye bei ndefu zaidi duniani ni pikipiki zenye thamani zaidi ya billion dollars ( USD ): Modealer 

10. Ducati Testa Stretta NCR Nera


Bei ya pikipiki kwa mujibu wa tovuti ya tovuti ya wealthy gorilla ni dollar za Marekani 225,000 million sawa na ( Tsh 524,925,000) 
Pikipiki inayodaiwa kuwa na uzito wa kg 135, 185hp engine huku designer akiwa ni Aldo Drudi . 

09. Ducati Desmosedici D16RR NCR M1 


Pikipiki inayodaiwa kuwa na thamani ya pesa za Marekani $ 235,000 million sawa ( Tsh 548,255,000).  Pikipiki hii imetengenezwa kwa madini ya Titanium vionic pamoja  aluminium  na carbon fiber fenders .
Uzito wa pikipiki hii unatajwa kuwa ni pound 319 .

8. Eccose Founders Edition Ti XX  


Pikipiki inayodaiwa kuwa na thamani ya pesa za Marekani  $ 300,000 million sawa na ( Tsh 699, 900,000).  Pikipiki hii imetengenezwa kwa chassis yenye titanium na engine yenye billet aluminum. Ukubwa wa engine ni CC 2409. 

7. Legendary British Vintage Black  


Pikipiki yenye thamani ya pesa za Marekani  $ 400,000 million. Pikipiki inayoundwa nchini Uingereza ( UK ) huku toleo lake la kwanza kabisa liliundwa mnamo mwaka 1948 . Uwezo wa engine ni CC 250 tuu . 

6. Dedge Tomahawk V10 Superbike  


Thamani ya pesa za Marekani $ 550,000 million  sawa na ( Tsh 1,283,150,000). Pikipiki inayodaiwa kuwa na uzito wa kg 680 pamoja na uwezo wa spidi 400 mph huku ikimudi kukimbia 60 mph ndani ya sekunde. 

5. Harley Davidson Cosmic Starship 


Dollar za Marekani 1.5 million sawa ( Tsh 3,499,500,000). Pikipiki iliyobuniwa na msanii mwenye tuzo ya heshima Jack Armstrong. 

4. The Yamaha BMS Chopper 


Pikipiki ya gharama sana, Thamani ya pesa za Marekani $ 3 million sawa na (Tsh 8,398,800,000) huku ukubwa wa engine ukiwa ni CC 17000. Pikipiki inayodaiwa kuwa na madini ya Gold Karat 24 pamoja na red velvet upholstered seat. 


3. Eccose ESI Spirit 


Pikipiki yenye thamani ya pesa za Marekani $ 3.6 million sawa na ( Tsh 8,898,800,000 . Huku ikiwa na uwezo wa kukimbia kilometers 1700. 

2. 1949 E90 AJS Porcupine 


Pikipiki inayo gharimu $7 million ambazo ni dawa ( Tsh 16,331,000,000)  


1. Neiman Marcus Limited edition Fighter


Pikipiki inayodaiwa kuwa na thamani ya pesa za Marekani $11 million sawa na Tsh ( 25,663,000,000) 

Jee ungependa ufahamu nini kingine?















No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.