Header Ads

AZIZI KI AMALIZA MZIZI WA FITINA DK YA 79

 AZIZ KI AIPITISHA YANGA SC HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO .  


Dar es Salaam: Timu ya mpira wa miguu Tanzania ( Yanga Sport Club) imefanikiwa kuingia katika hatua ya Makundi baada ya kushinda mchezo wake dhidi ya Timu ya Club Africain ya nchini Tunisia. 

Timu ya Yanga imeingia katika hatua ya Makundi baada ya kuinyuka timu ya club Africain bao 01 kwa sifuri katika mchezo uliochezwa nchini Tunisia. Bao la timu ya Yanga limewekwa nyavuni la Kiungo Aziz Ki mnamo dakika ya 79 ya mchezo. 
Picha : Kikosi cha Timu ya Yanga katika mchezo wake na timu ya club Africain ya nchini Tunisia. Picha hii ilipigwa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza wa timu ya Yanga na Club Africain kabla ya mechi ya marudiano 09/11/2022 .  

Kwa ushindi wa bao 01 yanga inafanikiwa kuingia katika hatua ya Makundi huku club Africain ya nchini Tunisia ikiishia njiani. 

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.