YORK: AKAMATWA KWA KUMRUSHIA MAYAI KING CHARLES III
KIJANA WA MIAKA 23 MIKONONI MWA POLICE HUKO ENGLAND KWA KOSA LA KUMRUSHIA MAYAI KING CHARLES III KATIKA ZIARA YAKE
Police katika mji wa York huko England ya Kaskazini wanamshikilia kijana mmoja wa miaka 23 kwa kosa la kumrushia mayai King Charles III katika ziara yake .
Mapema siku ya leo ( Wednesday 9/11/2022) King Charles III akiambatana na camilla wameitembelea England ya Kaskazini katika mji wa York.
Habari zinaeleza kuwa ghafla kijana huyo alianza kutupa mayai kwa King Charles III huku akiongea maneno kadhaa yakukosoa.
( RTE )
Post a Comment