MIILI 19 KUAGWA LEO UWANJA WA KAITABA
HABARI PICHA KUTOKA UWANJA WA KAITABA KATIKA KUAGA MIILI 19, AJALI YA NDEGE SHIRIKA LA PRECISION AIR
Picha: Waombolezaji na wafiwa, kufuatia vigo vya watu 19 katika ajali ya ndege shirika la Precision Air. Picha hii imepigwa uwanja wa Kaitaba 07/11/2022 .
Picha: Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) likiingia na miili ya marehemu katika uwanja wa Kaitaba kwaajili ya zoezi la kuagwa rasmi. Picha zilizopigwa na mpiga picha wa maelezo tv .
Post a Comment