WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUTOA POLE BUKOBA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITOA POLE KWA MAJERUHI WA AJALI YA NDEGE SHIRIKA LA PRECISION AIR.
Picha: Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akitoa pole na kusalimiana na majeruhi wa ajali ya ndege shirika la Precision Air, 06/11/2022 .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera kuwajulia hali watu waliookolewa kutoka katika ndege ya Precision Air.
Hata hivyo, kupitia ukurasa wake wa twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Samia Suluhu Hassan imetoa salamu zake za pole kwa waathirika wa ajali ya ndege ya shirika la Precision Air.
Post a Comment