Faida za Utumiaji wa Tangawizi
Faida Za Utumiaji Wa Tangawizi
Wataalam mbalimbali wa afya na lishe duniani kote wanashauri na kusisitiza utumiaji wa tangawizi kwa wingi Katika maisha ya kila siku kutokana na faida zake.
Tangawizi inatajwa kuwa na faida nyingi katika afya ya mtumiaji , miongoni mwa faida hizo ni kama hivi ifuatavyo ;-
- Husaidia wenye matatizo katika hedhi
- Husafisha utumbo mpana
- Huboresha afya figo na kusafisha kibofu cha mkojo .
- Huongeza hamu ya kula
- Husafisha damu na kuongeza ubora katika mzunguko wa damu.
- Huzuia kichefuchefu na kutapika .
Kutokana na faida tajwa hapo juu unashauriwa mara moja kujiingiza katika utumiaji wa tangawizi kila siku ili kuboresha afya yako . Unaweza kupata faida zote hizo kwa kuchemsha tangawizi na kupata maji yenye ujazo wa kikombe kidogo
