Kampuni Ya Assemble Insurance ( T ) Ltd Yatoa Msaada Wa Luninga Kumi Hospital Ya Taifa Muhimbili Leo.
Kampuni ya bima ya Assemble Insurance company leo tarehe 27/06/2023 imetoa msaada wa Luninga ( Television ) zipatazo kumi (10) kwa hospital ya Taifa Muhimbili.
Kampuni ya bima ya Assemble Insurance inatoa luninga hizo ikiwa ni sehemu ya mpango wa kampuni hiyo kurudisha kwa jamii kama sehemu ya kusaidia jamii. Aidha luninga hizo zinatarajiwa kutumiwa na hospital ya taifa ya Muhimbili katika wodi za wagonjwa na maeneo mengine ya watu hospitalini hapo . Tazama Picha Zaidi