Profile Ya Kocha Mkuu Mpya Wa Yanga Sc Ni Hii, Uzoefu , Mafanikio Na Ujuzi .
Miguel angel gamond: Raia kutoka nchini argentina mwenye leseni ya baraza la mpira wa miguu argentina kama kocha . Lakini kwa sasa ni kocha rasmi wa timu ya soka ya yanga sc . Yanga Sc leo wanashiriki nondoo muhimu sana kuhusu kocha huyu .
Mwaka 1963 January 12 Miguel Angel Gamond alizaliwa huko nchini Argentina , katika kuitafuta elimu Miguel amefanikiwa kusoma mambo kadha wa kadhalika ikiwa ni pamoja na ,
( a ) Maisha ya elimu na kozi za ukocha
. Diploma ATFA-pro
. Football clinic
. Course in physical conditioning
( b ) Maisha ya kazi na ajira .
Miguel angel gamond katika maisha yake ya Kazi amefanikiwa kushika nafasi ya ukocha katika vilabu mbalimbali vya nchi tofauti.
2021-2022 : Kocha mkuu -Itihad Tanger Morocco.
2020-2021: Kocha mkuu -Mas Fes Morocco
2019-2020: Technic Director - Wydad Ac
2017-2019: Kocha mkuu - Hassania Union Agadir Morocco
2015-2017: Technic Director- Hassania Union Agadir
2013-2014: Kocha mkuu- CR Beloulzdad
2012-2013: Kocha mkuu- USM Alger
2011-2012: Kocha mkuu- Itihad Kalba
2010-2011: Kocha mkuu -CR Belouizdad
2007-2009: Kocha mkuu- Platinum stars
2006-2007: Hassania Union Agadir
2005-2006: Kocha mkuu- Mamelod Sundown
2004-2005: Kocha msaidizi - Esperance Tunis
2003-2004: Technical director - ASEC Mimosas.
2002-2003: Kocha msaidizi - Wydad Ac .
2001-2002: Kocha msaidizi - Burkina faso national team .
2000-2001: Kocha msaidizi - Ittihad Tripoli
1999-2000: Kocha msaidizi - C.A Sanartin
Wasifu wa Miguel Angel Gamond ni full nondo yaani uzoefu na nafasi ya ukocha wa kutosha kabisa, zile timu ambazo ni miamba ya africa kaskazini na kusini zote amewahi kuwa kocha wa timu hizi, na sasa ni mara ya kwanza kuinoma timu ya soka ya Tanzania.
Miguel angel gamond anakabidhiwa Yanga Sc ikiwa na msimu bora uliopita chini ya Kocha Nasser Nabi ambae ametimkia huko south Africa. Jee Miguel Angel Gamond ataziba pengo la Nasser Nabi?