Bora Bora Kisiwa Kizuri Cha Kutalii 2023

Bora Bora Kisiwa Chenye Fukwe Za Hadhi 

Bora Bora Water Tax

Bora Bora Island : Ni mara yako ya kwanza kusikia jina hili ? Bora Bora Kisiwa chenye fukwe za hadhi ya juu sana , Bora Bora eneo lililopo huko nchini France ( ufaransa) linahesabiwa kama kitovu cha utalii wa kimataifa duniani. 

Ni ukweli usiofichika kuwa bora bora hutembelewa na wageni kutoka mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kufanya utalii na kujifunza. Mandhari ya fukwe za bora bora huwafanya maelfu ya watalii kuvutiwa na eneo hilo. Ni eneo lenye minazi mingi sana, milima yenye kijani kibichi na pia hotel za kuvutia.Unatamani kuona ? 

Zitazame Picha Kutoka Bora Bora Hapa . 

                  

1. Tax za kwenye maji 

                     2. Fukwe Za Kifahari  

Bora Bora Beach Images

                   3. Hotel Za Kifahari 

Bora Bora hotels

             4. Minazi Yenye Kijani Kibichi 

Bora Bora coconut trees

Hakika ndani ya bora bora kuna mengi sana ya kupendeza na kuvutia pia, inahitaji pesa nyingi sana kuweza kujipa nafasi ya kuingia viwanja vya kujidai bora bora. Minazi yenye kijani kibichi, hotel za kuvutia, tax za majini na fukwe za Kifahari pamoja na hotel basi huipamba bora bora vya kutosha.