BREAKING NEWS LIMPOPO POLICE OFFICER

POLICE OFFICER LIMPOPO AUA NA KUJERUHI KISHA KUJIUA MWENYEWE. 


BREAKING NEWS: Junior police officer huko limpopo leo hii amefanya tukio la kushangaza watu baada ya kuwashambulia kwa risasi police wenzie wawili na kusababisha kifo na majeruhi kisha kujiua yeye mwenyewe.

Vyombo mbalimbali vya habari vinaendelea kuripoti tukio hili huku sababu za police officer huyo kufanya tukio hili zikikosekana, hata hivyo mamlaka za upelelezi huko limpopo bado zinaendelea kuchunguza tukio hilo.