Baharini marufuku Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar mapema Leo hii imetoa tamko la kusimamisha shughuli zote za baharini ikiwemo uvuvi na usafirishaji kuanzia leo tarehe 24/04/2021 mpaka tamko jingine litakapotolewa.
Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais wa pili wa Zanzibar Dkt Khalid Salum Mohamed amesema serikali imefikia uamuzi huo Ili kuchukua tahadhari dhidi ya kimbunga jobo.
Post a Comment