Header Ads

MUUNGANO.

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dkt philip Isdor Mpango katika kongamano la miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo tarehe 26/04/2021 ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.

Kauli mbiu " Muungano wetu ni msingi imara wa Mapinduzi ya uchumi, Tudumishe mshikamano wetu".

No comments

Note: only a member of this blog may post a comment.

Powered by Blogger.