FALLY IPUPA KUJA TANZANIA
Msanii wa muziki kutokea Nchini Congo fally ipupa katika kuelekea siku yake ya kuzaliwa siku chache zijazo. Hatimae ameamua kuitembe nchi ya TANZANIA mapemaaa kabla ya happy birthday yake. Hata hivyo nguli huyu wa muziki atafanya shows sehemu mbalimbali ikiwemo dar es salaam na Mwanza October 13.
https://www.instagram.com/p/CTnTLVPjo5R/?utm_medium=copy_link
Post a Comment