HARMONIZE AINGIA STUDIO.
Msanii wa muziki kutokea Nchini Tanzania Harmonize kupitia ukurasa wake wa instagram leo hii ameweza kupost picha mbalimbali zinazomuonesha akiwa studio nchini marekani . Msanii huyo pia ameweza kuonesha waziwazi picha mbalimbali zinazomuonesha muonekano wa vito vya Bei ndefu alivyonunua siku chache zilizopita.
Lakini mashabiki mbalimbali wameendelea kupaza sauti zao kwa kulalamika kuwa Harmonize amekuwa akiiga kila kinachofanywa na boss wake wa zamani Diamond platnumz .
Post a Comment