KIFO CHA HANS POPE
Timu ya soka nchini Tanzania simbasc imeondokewa na mjumbe wake wa bodi ya wakurugenzi HANS POPE ambae amefariki leo hii jijini Dar es Salaam Tanzania.
Aidha wadau mbalimbali wa soka wanaendelea kutoa salamu zao za pole kwa ndugu , jamaa , marafiki na familia ya marehemu kwa msiba huu.
https://www.instagram.com/p/CTp1uI1jAa_/?utm_medium=copy_link.
Post a Comment