DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA RATIBA MPYA
Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Diamond platnumz . Simba leo hii kupitia ukurasa wake wa instagram ameweza kuutangazia ulimwengu ratiba ya show zake ambazo zitakuwa nchini marekani .
Hii itakuwa ni mara yake nyengine Tena kuendelea kufanya show nchini humo mfululizo.
Baada ya kipindi Cha miezi kadhaa iliyopita kufanya show nyingi marekani . Hatimae mwanamuziki huyo anarudi Tena kufanya show .
Post a Comment