DODOMA JIJI WAPOTEZA
Timu ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji leo hii imepoteza mchezo kwa kufungwa goli nne (4) kwa sifuri dhidi ya timu ya soka ya Yanga kutoka jijini Dar es Salaam.
Mabao ya timu ya ya yanga yamefungwa na wachezaji hawa .
1.Mayele
2. Moloko
3. Feisal salum (Feitoto)
Timu hizi huwenda zikakutana tena katika mchezo ujao unalipi la kutabiri?
Post a Comment