HAJJI MANARA ATOA DUKUDUKU.
Baada ya siku chache zilizopita (Jana ) Kampuni ya GSM ambao ni mdhamini mwenza wa ligi kuu ya NBC PREMIER LEAGUE kujitoa kwenye nafasi hii na pia Mmiliki wa kampuni hii kujitoa kwenye nafasi katika timu ya Taifa leo msemaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Yanga Sc Hajji Manara ametoa yake ya moyoni .
Hajji Manara ametoa yake ya moyoni kwa kuanika wazi mambo yanayofanywa na baadhi ya referees katika mechi mbalimbali, hata hivyo katika maelezo yake Manara amewaomba watu kuwa na utaratibu wa kuhoji ni haki yao .
Hata hivyo Manara anasisitiza kuwe na ufanyaji sahihi wa maamuzi .
Tafadhali tazama vizuri video iliyopo hapo juu kwa uelewa zaidi .
Gusa matangazo yetu yaliyopo chini ya habari hii kuburudika zaidi, Ahsante kwa kuwa karibu nasi .
Post a Comment