HABARI KAMILI Jeshi la police Mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia watuhimiwa wapatao 30 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo wizi na kujifanya usalama wa Taifa .
Hata hivyo Yunus Nassor Ali (32) ni miongoni mwa watuhimiwa hao kwa kujifanya usalama wa Taifa.
Post a Comment