NEW UPDATE 🔴 LIVE: AJALI MBAYA HANDENI.
Habari Kamili
Mkuu wa wilaya ya mkoani Tanga DC Siriel Mchembe amethibitisha kutokea kwa ajali mbaya iliyohusisha gari mbili Toyota Hiace na Coaster usiku wa kuamkia leo.
Habari zinaeleza kuwa hiace ilipasuka mpira na kupoteza muelekeo na kisha kupaki pembeni ya barabara, Raia walikwenda kushuhudia ajali hii ndipo gari aina ya Coaster ilipowavamia na kuwaumiza vibaya .
Bado idadi kamili ya vifo pamoja na majeruhi haifahamiki lakini watu wemeumia vibaya na wanaendelea na matibabu .
Jee nani mwenye kosa ? Tuandikie comment yako hapa. Tutaisoma .
Post a Comment